Viazi vya karai | Jinsi ya kupika viazi vya karai tamu sana nyumbani | Spicy fried potatoes

Описание к видео Viazi vya karai | Jinsi ya kupika viazi vya karai tamu sana nyumbani | Spicy fried potatoes

Mapishi ya viazi karai / Viazi vya madonge

MAHITAJI:
viazi 10
maji vikombe vinne
chumvi kiasi

Unga wa ngano kikombe 1
Unga wa dengu 1/2 kikombe
chumvi kiasi
rangi ya chakula ya orange
maji kikombe 1 na 1/4

Masala kijiko 1 kidogo
Chumvi kijiko kimoja kasorobo
Juice ya ndimu kiasi

mafuta ya kukaangia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке