NUTRITION - E01 : FAHAMU TIBA LISHE ITOKANAYO NA JUISI YA ROZELA

Описание к видео NUTRITION - E01 : FAHAMU TIBA LISHE ITOKANAYO NA JUISI YA ROZELA

WATU wengi duniani wamekuwa wakitumia dawa za mitishamba kutibu maradhi mbalimbali, lakini siku za karibu utafiti wa sayansi unaonyesha kuwa mti wa ‘hibiscus sabdarifa’, unaojulikana kama Rosella umeibua habari mpya kuwa unaweza kutibu shinikizo la damu.

Rosella ni maua yanayojulikana kabisa pia huoeshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке