MWENGE WAZINDUA SHULE ya PRECIOUS SEKONDARI MERU - KIONGOZI wa MWENGE ASEMA INA HADHI ya CHUO KIKUU

Описание к видео MWENGE WAZINDUA SHULE ya PRECIOUS SEKONDARI MERU - KIONGOZI wa MWENGE ASEMA INA HADHI ya CHUO KIKUU

MWENGE WAZINDUA SHULE ya PRECIOUS SEKONDARI MERU - KIONGOZI wa MWENGE ASEMA INA HADHI ya CHUO KIKUU...

Mwenge wa Uhuru umendelea kukimbizwa katika Mkoa wa Arusha ukiwa katika Halmashauri ya Meru Mwenge wa Uhuru umezindua shule ya precious Leaders Sekondary school shule ya Mwekezaji mzawa iliyopo Kingori katika wilaya ya Arumeru..

Kiongozi wa Mwenge kitaifa 2023, ABDALLAH SHAIBU KAIM
ameupongeza uongozi wa shule hiyo kwa uwekezaji huo mkubwa na mzuri wa kujenga shule yenye muonekano mzuri kama Chuo Kikuu na hivi ndivyo ilivyo kuwa

Mkurugenzi wa shule hiyo ameishukuru serikali kwa kiwatambua wawekezaji wa zawa wanaowekeza katika Elimu na kusema kuwa hiyo inawapa chachu ya wao kufanya vizuri zaidi...

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке