Beatiful recitation | Sumaiya alivyokonga nyoyo za watu Uwanja wa Taifa akisoma Quran

Описание к видео Beatiful recitation | Sumaiya alivyokonga nyoyo za watu Uwanja wa Taifa akisoma Quran

Sehemu ya Mashindano ya Kimataifa ya wanawake ya Quran yalofanyika Tarehe 31.08.2024 uwanja wa Benjamin Mkapa,Dar es Salaam Tanzania.Sumaiya alishika no.5

Комментарии

Информация по комментариям в разработке