UKAGUZI USHUSHAJI GESI📍Mangapwani Unguja

Описание к видео UKAGUZI USHUSHAJI GESI📍Mangapwani Unguja

ZURA yafanya Ukaguzi wa ushushaji wa Gesi yenye ujazo wa Tani za ujazo 1000 sawa na takriban Kilo 1,300 za Gesi iliyoletwa kwa Meli ya MT GAS HUSKY katika Bohari ya Kampuni ya ORYX, Mangapwani Zanzibar.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке