Magical house (Mauzauza, Nyumba ya Ajabu) Latest Swahili Bongo movie

Описание к видео Magical house (Mauzauza, Nyumba ya Ajabu) Latest Swahili Bongo movie

Tenement houses are challenging This film tries to show how tenement houses are challenging for tenants. This film tries to make us aware of the chaos that happens in tenement houses.
Landlords keep strange things in their houses and cause trouble for tenants.

Nyumba za kupanga zinachangamoto Filamu hii inajaribu kuonyesha kwa namna gani nyumba za kupanga zilivyo na changamoto kwa wapangaji. Filamu hii inajaribu kutujuza mauzauza yanayotokea katika nyumba za kupanga.

Wenyenyumba huweka vitu vya Ajabu katika nyumba zao na kusababisha kelo kwa wapangaji.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке