Hatua ambazo biashara inapitia sehemu ya kwanza - Misana Manyama

Описание к видео Hatua ambazo biashara inapitia sehemu ya kwanza - Misana Manyama

Biashara ni kama kiumbe hai anaeishi. Kwa kusema hivi ninamaanisha biashara ina maisha na maisha yamejengwa katika msingi wa hatua.

Kuna wakati wa kuzaliwa na kuna wkati wa utoto, pia kuna wakati wa ujana na wakati wa utu uzima, Hivi ndivyo ilivyo kwa biashara pia.

siku ya leo nimeelezea juu ya hatua ambazo biashara zinapitia. Somo hili ni la muhimu sana kwani litawasaidia wafanyabiashara kujichunguza na kujua wapo hatua gani na nini kifanyike ili uweze kukua na kuweza kukuza biashara yako kwenda hatua inayofuata.

ungana nami katika somo la leo, kama umependa somo hili

LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE – SHARE#malengo
#biashara #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam #timemanagement #timemanagementskills #kenya #uganda #zanzibar #misanamanyama

Комментарии

Информация по комментариям в разработке