MORAVIAN EFATHA CHOIR NA TUENENDE (OFFICIAL VIDEO)

Описание к видео MORAVIAN EFATHA CHOIR NA TUENENDE (OFFICIAL VIDEO)

Neno la Mungu linatuelekeza watu wote tulioitwa kutumika , namna ya kuenenda katika wito mkuu ndani ya Kanisa la Mungu. Pia Waefeso 5:15A inatuasa kwamba tuangalie sana jinsi tunavyoenenda.
Hivyo basi Moravian Efatha Choir M.E.C tumeamua kusimama kwa zamu yetu kulikumbusha Kanisa kwamba imetupasa kuenenda kwa unyenyekevu, upole, uvumilvu tukichukuliana katika Upendo na kwamba tusichukiane bali tuwe na umoja katika Mwili wa Kristo.

Mtunzi: Mwl. Fred Mwamakula
Audio Production: Fresters Records
Video Production :Syberpic Filam

Комментарии

Информация по комментариям в разработке