ENDELEENI KUMUUNGA MKONO DKT SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Описание к видео ENDELEENI KUMUUNGA MKONO DKT SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo Makongolosi uliopo Halmashauri ya wilaya ya Chunya wametakiwa kuendelea Kumuunga Mkono Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kujitokeza kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani mambo makubwa, muhimu na ya kihistoria ymefanyika katika maeneo

Jambo mojawapo ni ujenzi wa Shule ya Msingi Mpya ya Amani ambapo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitoa zaidi ya shilingi milioni mia tano thelasini na nane, kwasasa Shule imekamilika na wanafunzi wanasoma

Uandikishaji wa Wapiga kura kwenye Daftari la Mkaazi unaaza rasmi oktoba11, 2024 na utadumu kwa siku kumi hadi oktoba 2024

Комментарии

Информация по комментариям в разработке