Qaswaid Nyoyo Zimefurahika

Описание к видео Qaswaid Nyoyo Zimefurahika

Qaswaid Nyoyo Zimefurahika na nyenginezo katika kusherehekea kwa harusi ya Familia ya Al-Beity akiwa Ahmad Hassan Al - Beity bwana harusi na Swafaa Swaleh Al-Beity Bi-harusi. Malindi Kenya nyumbani kwa Hababa yao kipenzi Hababa Esha.


#simbahali #nikah #nasheed

Комментарии

Информация по комментариям в разработке