TTCL YAWAKOSHA WATEJA MAONESHO YA NANENANE 2024

Описание к видео TTCL YAWAKOSHA WATEJA MAONESHO YA NANENANE 2024

Baadhi ya Wateja waliotembelea banda la Shirika la mawasiliano Tanzania-TTCL wakieleza jinsi wanavofurahia huduma zinazotolewa na Shirika hilo.

TTCL inaendelea kuwakaribisha Wananchi kutembelea banda la TTCL katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni-Dodoma.

#IshiKidijitali
#Nanenane2024

Комментарии

Информация по комментариям в разработке