KALALE - Willis "Bazu" Raburu x Rekless, Breeder LW, Mejja & Ssaru (LYRIC VIDEO) SKIZA CODE- 5800353

Описание к видео KALALE - Willis "Bazu" Raburu x Rekless, Breeder LW, Mejja & Ssaru (LYRIC VIDEO) SKIZA CODE- 5800353

To Set “#Kalale” as your Skiza tune, SMS [Skiza 5800353 ] to 811

iTunes: https://music.apple.com/ke/album/kala...

Song:
KALALE
Artist: Willis "Bazu" Raburu x Rekless, Breeder LW, Mejja & Ssaru
Audio: MAVO ON THE BEAT
Production:
Static Box Media - (@Static_B0x_Media)
Skiza Code: 5800353
Year: 2020

WILLIS "BAZU" RABURU CONTACTS
Email - [email protected]
Facebook -   / willisraburu.  .
Twitter -   / willisraburu  
Instagram -   / willisraburu  
Website - http://www.willisraburu.com

LYRICS:

It’s the WILD WILD WILLIS (BAZU)
Mavo ket Gino Bwana ket Gino
Wadhi wadhiuru
WABEBE!

Kalale
KALALE
KALALE

Mavo on the beat

Hii ni lazma uta mark kwa calender
Ya ma master ma G mabazenga
Pia ka fala na beef na kalenga
Na ka kawa mi uvunja agenda
Si bishanangi sku hizi niko busy
Labda ka ni bei ya bently na mabigi
Hakunanga mtaa naeza kula baridi
Buda kila esto jiji nina bibi

KALALE ( unakulanga Ferare)
KALALE (rush mawe ka Khalwale)
KALALE( unaongea mingi ka)


HOOK

Kem kem what a gwan eeh what have I missed?
Ka si ganje haini saidi
What a gwan eeh what about it?
Broman ka unadai beef kalale
Kalale(lalelalela)

Yo yo yo, Bazenga,
Papa Fathela kile imebaki ni kujengewa statue,
Usiache ndulla nje na unajua tuko Pipu,
Tuko Up Deh na TK,Mbogi Yote my crew,
Masilva ndio zimejaa kama Manchester Blue,

Chem ndio inafanya nidoz daro,
Papa God si unionyeshe ganji kama Flacco,
Ni adisie ma figure,ma comma na ma zeroo,
Very soon itabidi nikisonga ni ki prado,

Fan after fan kuwachukua wakikam,
Mali ikiwa safi,Ongeza bei ya bidhaa,
Wasoro kuwa punish,kupepea ka ki flag,
Ukizidi kulegeza ndio utakuliwa madam,

Kem kem what a gwan eeh what have I missed?
Ka si ganje haini saidi
What a gwan eeh what about it?
Broman ka unadai beef kalale
Kalale(lalelalela)

Okonkwo
Katubongi pesa ni upuzi
Natakakuwa Na shares kakuzi
Nijenge huko nyali, ininice Nikikunywa sharubati,
Ukirushwa manzi kalale,
Compe ni compe roho safi,
BAZU,BAZU, mi hufanya Biz Na MaBazu
Sipendi Chali amewekwa
Unalipiwa NYU ba Ruaka, KALALE,
Wanaina wakiongea KALALE
Okonkwo Buuu

Kem kem what a gwan eeh what have I missed?
Ka si ganje haini saidi
What a gwan eeh what about it?
Broman ka unadai beef kalale
Kalale(lalelalela)

Ssaru,
Ka Niko mboka huwa sibishani na wale
alafu Buda Kwa hii game mi ndio huchezanga malale
Nakuja solo nyi mkikujanga wanane
Na Ukileta usoro nakupiganga mabare
We kalale hapa Ni kwa watu wa kale
Ju natafuta huwa Niko hapa na pale
Na isipojipa mi nahamia kitale
Kaposhomill pale napunguza ukware
Ukware izo vako za kuparty mi sisare
Sisare ju bado mi Ndo hutembea na nare
Na ukinipata kwa chuom mi nakosaje Mali
Mi nikulanga mbosho we unakulanga mabare

Kem kem what a gwan eeh what have I missed?
Ka si ganje haini saidi
What a gwan eeh what about it?
Broman ka unadai beef kalale
Kalale(lalelalela)


I go by the name the Wild Wild Willis thank you so much for attending this song,
You know they call me Mr. international , Kenya Uganda Rwanda Hahahhaa

#BAZU #BAZUTAINMENT #KALALE #WillisRaburu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке