ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA LA KIGONZILE IRINGA

Описание к видео ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA LA KIGONZILE IRINGA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega aweka la Jiwe la Msingi katika Daraja la kata ya Nduli kijiji cha Kigonzile- Mkoani Iringa linalounganisha mitaa mbalimbali ya kata hiyo.

Akiwa katika ziara ya kikiazi leo 17 September 2024 waziri huyo amesema kabla ya ujenzi wa daraja hilo wananchi walikuwa wanapata tabu kutoka sehemu moja kwenda upande mwingine kufanya shughuli zao za kila siku.

‘Ujenzi wa daraja hili ni uthibitisho kwamba Serikali ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kufanya kazi kubwa ya kutatua kero za wananchi, tunamshukuru sana Mhe. Rais" amesema Ulega.

Aidha Waziri Ulega ameipongeza TARURA kwa kufanya kazi nzuri ya ujenzi wa Daraja hilo, ambalo litasaidia wananchi kufanya shughuli zao vyema.

#nurufm #nurudigital

Комментарии

Информация по комментариям в разработке