NIKISEMA HAWEZI KUIGIZA, AMEOLEWA AKAE NYUMBANI ATULIE -

Описание к видео NIKISEMA HAWEZI KUIGIZA, AMEOLEWA AKAE NYUMBANI ATULIE -

STAA wa filamu na muimbaji wa muziki wa Bongo fleva kwa sasa, Rose Ndauka amemjibu nyota mwenzake wa filamu nchini Shamsa Ford.

Super woman huyo ameamua kujibu baada ya mahojiano aliyofanya Shamsa hivi karibuni na kudai kuwa Rose hawezi kuimba abaki kwenye uigizaji wa filamu.

"Kiukweli mimi nipo postive nikisema nimjibu Shamsa Ford anaweza asilale niseme kwamba maamuzi ya mtu yanapaswa kuheshimiwa.

"Nafanya vitu navyovipenda kelele za watu haziwezi kunipoteza, nikisema yeye hawezi kuigiza akae nyumbani sasa hivi kashaolewa na yeye akae atulie," amesema staa huyo.

#matukio #umbea #mikasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке