Alpha na Omega (live ). Official video.

Описание к видео Alpha na Omega (live ). Official video.

Alpha na Omega ni nyimbo inayotoa utukufu kwa Mungu. Hii nyimbo ni mambo kamili tafakari kiundani unapo angalia nyimbo hii

Maneno ya nyimbo.

Wewe ni Apha na Omega
Wewe ni Mungu mwenye nguvu
Haufananishwi na chochote

Bwana aaaa

Ni mtakatifu
Ni mtakatifu
Ni mtakatifu

Bwana AAA a

Hakuna usiloweza.

Ni mtakatifu

Kwa mawasiano
No.0655977217
Email.
[email protected].

Комментарии

Информация по комментариям в разработке