Hii ndio hadithi ya Malkia wa Sheba na alivyomchanganya Mfalme Solomon/Suleiman

Описание к видео Hii ndio hadithi ya Malkia wa Sheba na alivyomchanganya Mfalme Solomon/Suleiman

Hadithi ya Malkia wa Sheba imesimuliwa kwenye vitabu vya dini mbalimbali kama vile Wayahudi, Wakristo na hata Waislamu. Biblia imemsimulia kuwa alikuwa ni Malkia wa kutoka Mashariki Ufalme wa Aksum huko Ethiopia.

Na pia kuna wanahistoria wanaosema kuwa pengine ilikuwa ni kutoka ufalme wa Saba huko Yemen au toka katika hizo Falme mbili zote kwa maana ya kuwa pengine alitawala sehemu zote mbili. Endeleea..

Комментарии

Информация по комментариям в разработке