#Raha

Описание к видео #Raha

Raha ya yesu ni wimbo hulio humbwa nae mimi mwenyewe Francis Otiende nikiwa na machungu na huzuni nyingi sana ndani ya moyo wangu But nikidhani kwa sasa naweza sema kwamba Nehema ya Yesu yatosha kabisa so pls unapoendelea kuskiza wimbo huu naomba kwamba Mungu wa amani akakujazie na kukupa chochote unachoitaji kwenye safari yako ya maisha.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке