Catherine Ruge: Rais Samia Amenivunja Moyo Sana

Описание к видео Catherine Ruge: Rais Samia Amenivunja Moyo Sana

Haya ni mahojiano maalumu kati ya The Chanzo na Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Bara la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) ambapo mwanasiasa huyo anafunguka kuhusu mwelekeo wa nchi na kuweka wazi mambo ambayo anaona hayaendi sawa.

Pamoja na mambo mengine, Ruge, ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, anachambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, anaoshutumu kwa maamuzi yasiyokidhi maslahi ya umma pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu. Ruge anazungumzia uamuzi wa BAWACHA kumpatia Rais Samia tuzo ya heshima, Machi 8, 2023, uamuzi ambao Ruge anasema anaujutia sana.



Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке