MASOUD KIPANYA AFAFANUA KATUNI ZAKE TATA ALIZOWAHI KUMCHORA DKT HAYATI MAGUFULI

Описание к видео MASOUD KIPANYA AFAFANUA KATUNI ZAKE TATA ALIZOWAHI KUMCHORA DKT HAYATI MAGUFULI

NI Mtangazaji kutoka kituo cha Radio Clouds FM Masoud Kipanya ambapo Leo Mach 24, 2021 alifika katika uwanja wa CCM Kirumba kutoa heshima za mwisho kwa hayati Dkt Magufuli.
.
Sasa Ayo TV & Millardayo.com ilifanikiwa kumpata mtangazaji huyo na kuzungumza nae machache kuhusu katuni zake alizokuwa akimchora Hayari Dkt Maguful

Комментарии

Информация по комментариям в разработке