Jinsi ya kutengeneza taarifa ya mapato na matumizi

Описание к видео Jinsi ya kutengeneza taarifa ya mapato na matumizi

Jinsi ya kutengeneza taarifa ya mapato na matumizi ya biashara ni muendelezo wa mada zinazohusu taarifa za hesabu za biashara
Taarifa ya mapato na matumizi ni taarifa moja kati ya taarifa 4 zinazo tumika kutengeneza hesabu za biashara
Taarifa nyingine tatu ni kama zifuatazo:
• Taarifa ya hali ya mizania ya biashara
• Taarifa ya mtiririko wa fedha wa biashara
• Taarifa ya mabadiliko ya thamani ya uwekezaji kwenye biashara

Kwenye video hii tutaeleza jinsi kutengeneza taarifa ya mapato na matumizi ya biashara.

1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook:   / tanbusiness  
Instagram:   / tanbusiness  
YouTube:    / alimwambola  

#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Комментарии

Информация по комментариям в разработке