NITASIMAMA IMARA - KIDESU DP St. Joseph Choir MWECAU

Описание к видео NITASIMAMA IMARA - KIDESU DP St. Joseph Choir MWECAU

Wanakwaya wa Mt. Yoseph Mume wa Bikira Maria Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU).
Wanawaletea Wimbo wa Album yao ya Tano (05) unaoitwa NITASIMAMA IMARA, Wanawakaribisha Nyote kuutazama wimbo huu kwani waliimba wakiwa na nia ya kutangaza Injili Ulimwenguni kwa watu wote yakwamba Tusimame imara Kiroho katika Kumtukuza Mungu na Kumuamini Mungu kwani yupo nasi Daima.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке