Rajabu Zomboko akielezea Sikinde Imara. Akimkaribisha mtangazaji Mwinyiami Maftah “Stazo”

Описание к видео Rajabu Zomboko akielezea Sikinde Imara. Akimkaribisha mtangazaji Mwinyiami Maftah “Stazo”

Rajabu Zomboko, mtangazaji wa Radio One na ITV
• Akielezea Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae” jinsi ilivyo imara
• Akimkaribisha mtangazaji Mwinyiami Maftah “Stazo” wa Magic FM

Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga

Комментарии

Информация по комментариям в разработке