Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais

Описание к видео Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais

Msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anaamua kuuvaa uhusika na kuwahamasisha watu kuhesabiwa Na kuwatoa imani potofu juu ya hilo. Huku matamanio yake makubwa ni kuona watoto wanapata haki zao za msingi. #msichanajasiri

Комментарии

Информация по комментариям в разработке