Viazi lishe vimetukomboa Singida, asante FAO!

Описание к видео Viazi lishe vimetukomboa Singida, asante FAO!

#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili

Faida kubwa ya viazi lishe ni kwamba ina kiasi kikubwa cha Vitamini A na hivi viazi lishe vimetusaidia sana kwenye lishe majumbani na vile vile kiuchumi kwa kuwa ninauza mbegu, anasema Michael Aloyce, mkulima kutoka wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, katikati mwa Tanzania ambaye amenufaika na mafunzo yaliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке