NILIOMBA UKIMBIZI CANADA| AGENT ALINILIA PESA NA VISA SIKUPATA | WADADA MJIBRAND ACHENI KUOMBA OMBA

Описание к видео NILIOMBA UKIMBIZI CANADA| AGENT ALINILIA PESA NA VISA SIKUPATA | WADADA MJIBRAND ACHENI KUOMBA OMBA

Mpaukha ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka kufika nchi ya ndoto yake Canada
Ambapo anasema alitumia agent wa kwanza ambae alimlia pesa

Anasema baada ya kufika tu aliomba ukimbizi, amewaasa vijana kujituma.
Mabinti kutokua rahisi na waweze kujitegemea.

Thank you Mpauka Jr for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке