Soko by Mbuzi Gang ft Harry Craze, Unspoken Salaton & Vic West | Skiza code (8089337) to 811

Описание к видео Soko by Mbuzi Gang ft Harry Craze, Unspoken Salaton & Vic West | Skiza code (8089337) to 811

"Soko" by Mbuzi Gang ft Harry Craze, Unspoken Salaton & Vic West
https://blackmarket.lnk.to/soko

CHORUS HARRY CRAZE

Tunaoga tunarudi soko
Na tukirudi tunachoma foto
Hii bale ni safi kumejaa watoto
So tumeoga tunarudi soko

Soko! tunarudi Soko X 4

VERSE 1 JOEFES

Nimeoga nikarudi aiii
Anataka rings ka audi
Alibeba hoody zangu like kumi
Mhuni tabia zako ni duni
Puny ass lambistic shit
Shourty alishtuka kumbe mi huskiza kibe
Na reggae itasonga niko lucky ka dube
Ukwame unyonye unadai mi ni kupe

Soko! tunarudi Soko X4

VERSE 2 FATHERMOH

ksss ksss aaaaiii
ksss kss aah aah
baby acha hizo nikona nyagz aah aah
Hennessy king fisher johnny walker aah aah
bangi za kach githurai 44 aaai weeeeh
mmm thoooo hata umechapa
wacha nikaoge nirudi huko mtwapa
na sikuringa mii hupendwa na wamama
wacha miinikakule pesa za chamaaa

Soko! tunarudi soko X 4

VERSE 3 IPHOOLISH

Mad man kwa hii soko,
Niliachana na Ex body count ikareset
Before Ex already kulikua na next
Me hushower tu time me hupatana na waresh
High chance utapewa kama kuna kamnywes
Ni ukae mless
Ka huniwai ganji sa mbona uniwai stress
Naskia ukiwa na ganji ni easy kuwaimpress
Ukichezwa ni urevenge
Una snack, Nina mess

Soko! tunarudi soko X 4

VERSE 4 UNSPOKEN SALATON

Soko Tunarudi ki El shaqo,.. wagossip,
Wadosi hatujali,Huwaga Costly kuforce it,
Mali but ni mToxic,so mi narudi shopping,
Nisake wa kusosi,for now,..

Insta vile namada sai nasakwa na karao,
Ye alisema hanitaki mi nkasepa bella Ciao,
Siezi take a bow,niende down juu ya nyau,
Nlikupata na matuta sai unaleta madharau

CHORUS

Tunaoga tunarudi soko
Na tukirudi tunachoma foto
Hii bale ni safi kumejaa watoto
So tumeoga tunarudi soko

#mbuzigang #mbuzigang #soko #blackmarketrecords #harrycraze #vicwest #unspokensalaton

Комментарии

Информация по комментариям в разработке