KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MAALIM

Описание к видео KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MAALIM

Sheikh Othman Maalim akitoa funzo na elimu kwa waislamu juu ya masuala ya ndoa na maisha ya vijana. Sheikh ameegemea zaidi kuzungumza na vijana pamoja na wazazi juu ya kutengeneza jamii zenye familia bora. Kwa kuanza na wanandoa husika hususani vijana wa kiume.
_________________________________________
Yaliyomo kwenye video hii (Chapters):
0:00 - Watu wanapenda sana visa vya Othman Maalim
1:20 - Al Ma'arif Media intro
1:29 - Wema haupotei bure bure
2:10 - Vijana na kuyapanga Maisha yao (Mf: kuchagua mke bora, marafiki bora)
3:28 - Changamoto ya jamii kukosa maadili
6:23 - Tengeneza vizuri kikosi chako cha familia
7:58 - Wanachuoni ambao hawakuoa
9:55 - Kabla ya kuoa fanya hivi
11:55 - Ugomvi baina ya wanandoa
13:01 - Wanaume tunakosea mara nyingi (kwasababu hatufundwi)
14:43 - Kisa cha kadhi kutaka kumuozesha mwanawe
18:10 - Wanaume wanaooa hawafundishwi
19:48 - Matokeo ya wanaume kutokufunzwa
22:16 - Namna ya kuongea na mkeo (mf: muite kwa majina mazuri)
24:00 - Haki za wanandoa kwa wenza wao
25:26 - Wazazi angalieni watu wa kuwapa binti zenu
27:30 - Faida ya kumuozesha binti yako kwa mchamungu
28:19 - Ukipenda sana akili inapotea
30:57 - Watu huchokana
32:38 - Kisa cha imamu Abuu Hanifa kutokuaminiwa na mama yake katika mambo ya dini
35:19 - Jizuie na jambo hili
36:50 - Kisa cha Amir wa waislamu aliyekataliwa posa ya kijana wake
48:18 - Abuu Wadaa akaenda kutangaza mtaani kuwa amaeoa
50:44 - Baba mkwe kumpa mali mume wa binti yake
51:57 - Kwanini hakumuozesha binti yake kwa kiongozi
53: 33 - Mwisho
==================================
Tazama Video nyingine kwenye channel yetu
1. Video Title: UBORA WA MIEZI MITUKUFU NA UZITO WA AMALI ZIFANYWAZO NDANI YAKE
▶    • UBORA WA MIEZI MITUKUFU NA UZITO WA A...  
2. Video Title: RAHA KATIKA NDOA UTAIPATA KWA KUMFANYIA WEMA MKE WAKO | NDOA ZA WAZEE ZAMANAI
▶    • RAHA KATIKA NDOA UTAIPATA KWA KUMFANY...  
3. Video Title: KISA CHA ALIYESAIDIWA NA SHETANI || IBILISI ANA MBINU NYINGI || NI MUONGO
▶    • KISA CHA ALIYESAIDIWA NA SHETANI || I...  
*******************************************
Our Social Media:
🟥 Instagram 👇
  / almaarifmedia  
🟦 Facebook 👇
  / almaarifonlinetv  
⬛ Tiktok 👇
  / almaarifmedia  
*******************************************
Channel yetu nyengine 👇
   / @thefikra  
_________________________________________
Produced by: 𝗔𝗹 𝗠𝗮'𝗮𝗿𝗶𝗳 𝗠𝗲𝗱𝗶𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗶𝗻 𝟮𝟬𝟮𝟯
*******************************************
#bofyahapa🔴 #mawaidha #sheikh #maarif #ma'arif #darsa #kishki #othmanmaalim #sheikhkishki #mufti #bakwata #tanzania #hijja #ramadhanimawaidha #ramadhani #sabahalupdates #shamsualmaarif #muhadhara #mazinge #taqwa #samiasuluhu #joti #mkojanigang #mkojani #bunge #wasafi #milardayo #ihsan #zanzibar #mombasamawaidha #kenya #uislamu #listenable #trends #viral #islamic #muslims #kiswahili #arabic #ulimwengu #makka #ijumaa #swala #sunnah #islam #sheikhothmanmaalim #mawaidhamapya #mawaiza #mawaidha2024 #mawaidha2025 #mawaidha2026 #mawaidha2027 #ramadhani2025 #hakizawanandoa #hakiyamkenamume #hakiyamke #hakiyamume
*******************************************
⚠ 𝑨𝒏𝒚 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 𝒄𝒐𝒏𝒄𝒆𝒓𝒏𝒔, 𝒑𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒄𝒐𝒏𝒕𝒂𝒄𝒕 𝒖𝒔 𝒔𝒐 𝒕𝒉𝒂𝒕 𝒘𝒆 𝒄𝒂𝒏 𝒈𝒊𝒗𝒆 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒇𝒖𝒍 𝒄𝒓𝒆𝒅𝒊𝒕 𝒕𝒐 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒐𝒖𝒓𝒄𝒆. ⚠

🟥 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝗰𝘆 𝗣𝗼𝗹𝗶𝗰𝘆
Dear viewers, This Privacy Policy outlines how Al Ma'arif Media ("we", "us", or "our") collects, uses, and protects any personal information you provide when you use our YouTube channel and engage with our Islamic-based content. We are committed to ensuring that your privacy is protected. If you have any concerns about your privacy, please contact us.

🟦 𝗜𝗻𝗳𝗼𝗿𝗺𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝘄𝗲 𝗰𝗼𝗹𝗹𝗲𝗰𝘁
✔ Personal information:
When you comment, like, subscribe to or interact with our videos, your YouTube username and profile information may be visible to us.

✔ Analytics:
We use YouTube Analytics to gather data about video views, watch times, engagement metrics, and demographics of our viewers. This information is aggregated and anonymous.

🟪 𝗛𝗼𝘄 𝘄𝗲 𝘂𝘀𝗲 𝘆𝗼𝘂𝗿 𝗶𝗻𝗳𝗼𝗿𝗺𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻
✔ Provide content:
Your interactions with our videos, comments, and other interactions help us improve our content and provide you with more relevant information.

⬛ 𝗟𝗶𝗻𝗸𝘀 𝗮𝗻𝗱 𝗧𝗵𝗶𝗿𝗱 𝗣𝗮𝗿𝘁𝘆 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀
Our videos may contain links to other websites or resources. However, once you have used these links to leave our channel, please note that we have no control over these external websites. Therefore, we cannot be responsible for the protection and privacy of any information you provide when visiting such websites.

🟥 𝗬𝗼𝘂𝗿 𝗥𝗶𝗴𝗵𝘁𝘀
You can control the visibility of your interactions on our videos by adjusting your YouTube privacy settings. You can also unsubscribe from our channel at any time. If you would like us to delete any personal information we have collected, please contact us at [email protected].

𝗧𝗵𝗮𝗻𝗸𝘀 👌💕

Комментарии

Информация по комментариям в разработке