KWAYA YA MT. AUGUSTINO MUHIMBILI - NITAIMBA SIFA ZA BWANA (Official Video Music HD)

Описание к видео KWAYA YA MT. AUGUSTINO MUHIMBILI - NITAIMBA SIFA ZA BWANA (Official Video Music HD)

Kwaya ya Mt. Augustino Muhimbili inakukaribisha uweze kutizama na kutafakari kwa pamoja Wimbo huu Mpya unaokwenda kwa jina la NITAIMBA SIFA ZA BWANA, Hivyo basi tunakuarika tuweze kutafakari kwa pamoja Maneno haya yanayotoka katika Maandiko matakatifu , Zab 19:1,24:1, 27:6,115:5b, Neh 9:6, Ufunuo 5:13.

WIMBO - NITAIMBA SIFA ZA BWANA

MTUNZI : INNOCENT K.M.B

ORGANIST : AUSON MOZART

AUDIO & VIDEO BY : PRO STUDIOS

DIRECTOR : AGRIPINUS MUTONGORE

Usisahau kulike, kushare, kucomment na kusubscribe 🔥🔥🙏🏿

WAIMBAJI : KMA MUHIMBILI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке