Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть ROZARI YA MATESO SABA YA MAMA BIKIRA MARIA | SEVEN SORROWS OF VIRGIN MARY

  • lucid tv
  • 2020-11-13
  • 357309
ROZARI YA MATESO SABA YA MAMA BIKIRA MARIA | SEVEN SORROWS OF VIRGIN MARY
  • ok logo

Скачать ROZARI YA MATESO SABA YA MAMA BIKIRA MARIA | SEVEN SORROWS OF VIRGIN MARY бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно ROZARI YA MATESO SABA YA MAMA BIKIRA MARIA | SEVEN SORROWS OF VIRGIN MARY или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку ROZARI YA MATESO SABA YA MAMA BIKIRA MARIA | SEVEN SORROWS OF VIRGIN MARY бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео ROZARI YA MATESO SABA YA MAMA BIKIRA MARIA | SEVEN SORROWS OF VIRGIN MARY

ROSARI YA MACHUNGU SABA YA BIKIRA MARIA

Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina

Sala ya kwanza

Ee Mungu wangu, nakutolea Rosali hii ya machungu saba ya Bikira Maria kwa ajili ya utukufu wako na kwa heshima ya mama yako Mtakatifu sana. Nitawaza na kushikania naye katika haya aliyopata. Nawe Maria Mama yetu nakuomba, kwa heshima ya machozi uliyomwaga wakati ulipopatwa na machungu haya, utujalie kutubu dhambi zetu. Amina.


Salamu Maria X 3

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.

UCHUNGU WA KWANZA (LK 2:25-35)
Katika uchungu wa kwanza tunakumbuka wakati mzee mtakatifu Simeoni alipomtabiria Maria kwamba upanga wa uchungu utaufuma moyo wake, akimaanisha mateso na kufa kwake Yesu Kristo mwanae.
Tuombe neema ya kuvumilia mateso.

Baba Yetu x 1
Salamu Maria x 7
Atukuzwe Baba,

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.


UCHUNGU WA PILI (MT 2:12-18)
Katika uchungu wa pili tunakumbuka wakati Maria alipolazimika kukimbilia Misri kwasababu Herode katili alitaka kumuua mtoto Yesu.
Tuombe neema ili miili yetu iwe kimbilio lake Yesu.

Baba Yetu x1
Salamu Maria x7

Atukuzwe Baba,

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.

UCHUNGU WA TATU (LK 2:41-51)
Katika uchungu wa tatu tunakumbuka wakati Maria alipompotezs mwanae mpendwa na kwa siku tatu akamtafuta kwa uchungu mpevu na machozi.
Tuombe neema ya kudumu na Yesu mioyoni mwetu.

Baba Yetu x 1
Salamu Maria x7

Atukuzwe Baba

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.


UCHUNGU WA NNE (LK 23:26-31)
Katika uchungu wa nne tunakumbuka wakati Maria alipokutana na mwanae wa pekee akiwa amebeba msalaba akielekea mlima Kalvari ambako alikua akienda kusulubiwa kwa ajili ya wokovu wetu.
Tuombe neema ya kudumu na Yesu siku zote.

Baba Yetu x1.

Salamu Maria, x7

Atukuzwe Baba,

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.

UCHUNGU WA TANO (YOHN 19:25-27)
Katika uchungu wa tano tunakumbuka wakati Maria alipomwona mwanae Yesu ametundikwa juu ya msalaba na damu nyingi ikimwagika kutoka sehemu zote wa mwili wake.
Tuombe neema ya kufa mikononi mwa Yesu na Maria.

Baba Yetu x1

Salamu Maria, x7

Atukuzwe Baba,

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.


UCHUNGU WA SITA (YHN 19:38-40)
Katika uchungu wa sita tunakumbuka wakati Maria alipomwona askari akimchoma mwanae ubavuni kwa mkuki na wakati mwili wa Yesu, baada ya kusgushwa msalabani, ulipolazwa mikononi mwake.
Tuombe neema ya kutotenda dhambi.

Baba Yetu x1
Salamu Maria, x7

Atukuzwe Baba,

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.


UCHUNGU WA SABA (THN 19:40-41)
Katika uchungu wa saba tunakumbuka wakati Maria alipoona mwili wa mwanae wa pekee Yesu ukizikwa kaburini akitengana na mwanae ambaye kweli alimpenda mno.
Tuombe neema ya kitulizo kwa Mama Maria.

Baba Yetu x1.

Salamu Maria, x7

Atukuzwe Baba,

Ee Bikira Maria, Mama mwenye huruma, tukumbushe kila wakati mateso ya Yesu Kristo mwanao.
TUOMBE:
Ee Bwana Mungu wetu, kwa njia ya mateso na kifo cha Mwokozi wetu Yesu Kristu na kwa masumbuko yaliyompata mama yake Bikira Maria, ulileta wokovu kwetu sisi wakosefu. Twakuomba utujalie huu wokovu, tupate kuacha njia za dhambi na kupata yote mema aliyotuahidia Yesu Kristo yeye anayeishi na kutawala nawe na Roho Mtakatifu sasa na milele. Amina.

KUMBUKA
Kumbuka , Ee Bikira Maria, mwenye rehema, haijasikilika kamwe kwamba ulimwacha mtu aliyekimbilia ulinzi wako, akiomba msaada wako, akitaka umuombee. Nami kwa matumaini hayo ninakukimbilia ee Mama Bikira mkuu wa Mabikira, ninakuja kwako, ninasimama mbele yako nikilalamika mimi mkosefu, Ee Mama wa Neno la Mungu, usikatae Maneno yangu, bali uyasikilize kwa wema na unitimizie. Amina.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • ROZARI TAKATIFU MATENDO YA UCHUNGU
    ROZARI TAKATIFU MATENDO YA UCHUNGU
    6 лет назад
  • ROZARI YA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU
    ROZARI YA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU
    3 года назад
  • KUMTOA HEKALUNI MTOTO WA KWANZA
    KUMTOA HEKALUNI MTOTO WA KWANZA
    8 дней назад
  • "NAOMBA UNIOE" Mwanamke alimwambia mtu asiye na MAKAZI | Kila MTU alimcheka ila hawakujua siri hii
    4 дня назад
  • Ibada Takatifu ya Njia ya Msalaba
    Ibada Takatifu ya Njia ya Msalaba
    5 лет назад
  • Je, unaifahamu Sala ya Rozari Takatifu na nguvu zake?, Msikilize Pd. Gideon....
    Je, unaifahamu Sala ya Rozari Takatifu na nguvu zake?, Msikilize Pd. Gideon....
    2 года назад
  • SALA YA JIONI.
    SALA YA JIONI.
    1 год назад
  • NYIMBO PENDWA ZA KWARESMA KATOLIKI | BEST OF KWARESMA CATHOLIC MIX SONGS 2023 | Lent Catholic Songs
    NYIMBO PENDWA ZA KWARESMA KATOLIKI | BEST OF KWARESMA CATHOLIC MIX SONGS 2023 | Lent Catholic Songs
    3 года назад
  • ROZARI YA MACHUNGU SABA YA BIKIRA MARIA | THE SEVEN SORROWS OF MARY | SEVEN DOLORS OF MARY
    ROZARI YA MACHUNGU SABA YA BIKIRA MARIA | THE SEVEN SORROWS OF MARY | SEVEN DOLORS OF MARY
    1 год назад
  • Filamu ya Yesu kwa kiswahili
    Filamu ya Yesu kwa kiswahili
    2 года назад
  • Nyimbo Zote Za Kwaresma Zilizoimbwa Na Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu- Aloyce Kipangula
    Nyimbo Zote Za Kwaresma Zilizoimbwa Na Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu- Aloyce Kipangula
    2 недели назад
  • Rozari Takatifu - Matendo ya Uchungu - Jumanne na Ijumaa
    Rozari Takatifu - Matendo ya Uchungu - Jumanne na Ijumaa
    3 года назад
  • ROZARI YA DAMU AZIZI YA YESU KRISTO (1) // Valeriana Simon
    ROZARI YA DAMU AZIZI YA YESU KRISTO (1) // Valeriana Simon
    7 месяцев назад
  • 🔴 NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA - SIKU 12
    🔴 NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA - SIKU 12
    1 год назад
  • Divine Mercy Chaplet audio   Swahili with lyrics
    Divine Mercy Chaplet audio Swahili with lyrics
    8 месяцев назад
  • NYIMBO ZA KWARESMA SIKU YA IJUMAA KUU
    NYIMBO ZA KWARESMA SIKU YA IJUMAA KUU
    4 года назад
  • Rozari ya Huruma ya Bwana: Sali sala hii saa 9 Alasiri
    Rozari ya Huruma ya Bwana: Sali sala hii saa 9 Alasiri
    4 года назад
  • 𝐑𝐨𝐳𝐚𝐫𝐢 𝐓𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢𝐟𝐮( 𝐌𝐚𝐭𝐞𝐧𝐝𝐨 𝐲𝐚 𝐔𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮-𝐉𝐮𝐦𝐚𝐧𝐧𝐞 𝐧𝐚 𝐈𝐣𝐮𝐦𝐚𝐚)
    𝐑𝐨𝐳𝐚𝐫𝐢 𝐓𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢𝐟𝐮( 𝐌𝐚𝐭𝐞𝐧𝐝𝐨 𝐲𝐚 𝐔𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮-𝐉𝐮𝐦𝐚𝐧𝐧𝐞 𝐧𝐚 𝐈𝐣𝐮𝐦𝐚𝐚)
    3 года назад
  • Nyimbo pendwa za kwaresma katoliki.. John Maja.
    Nyimbo pendwa za kwaresma katoliki.. John Maja.
    3 года назад
  • ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU | CHAPLET OF SACRED HEART OF JESUS
    ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU | CHAPLET OF SACRED HEART OF JESUS
    3 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com