Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )

Описание к видео Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )

#msizikebadoyukohai#annointamani#

Huu wimbo umeandikwa na kuimbwa na Annoint Amani lengo letu tunataka kuwakumbusha vijana kufanya kaz na kupata pesa halali na sio kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria ,

ni hatari sana kwenda kinyume na Mungu na sheria ya nchi , maana uharifu una kuharibia sifa njema wewe na kizazi chako chote, hata kama utaona umepata ulichotaka lakin hakina raha maana sio jasho lako ,hivyo vitaisha tu gafra na utaishi vibaga kuliko awali 🙏

Annoint Amani
👇
Tiktok ,Annoint Amani tz

Whatsapp & call
+255767240181 = +255755099942 )

👇
Video,Directed by Rich one & Magnus

Dar es salama Tanzania )

Комментарии

Информация по комментариям в разработке