Kutana na Mhandisi Pascal Duel akizungumzia mfumo maalum wa kupooza injini.

Описание к видео Kutana na Mhandisi Pascal Duel akizungumzia mfumo maalum wa kupooza injini.

Je unafahamu kuwa maji ya kawaida yanaweza kusababisha kutu katika mfumo wa rejeta yako pamoja na kuwahi kuchemka haraka tofauti na kawaida?? Hayo yote na mengine mengi Mhandisi Pascal Duel kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji anatujuza.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке