VITA VYA UWEZO na MAUJUZI YA SOKA: SENZO MAZINGISA AONESHA MAUJUZI, ANTONIO NUGA AMUUNGA MKONO..

Описание к видео VITA VYA UWEZO na MAUJUZI YA SOKA: SENZO MAZINGISA AONESHA MAUJUZI, ANTONIO NUGA AMUUNGA MKONO..

Ni kawaida kwa viongozi wa klabu za soka kuwa na uwezo wa mchezo wa Mpira wa Miguu kama hapa mshauri wa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara, Senzo Mazingiza akionyesha udambwidambwi wa kusakata kabumbu.

Sio Senzo tu, wapo viongozi mbalimbali ambao nao wanauwezo wa kucheza soka kama, CEO wa Mabingwa wa Nchi Simba SC, Barbara Gonzalez alivyoonekana akionesha uwezo wake kwenye mchezo huo pendwa zaidi duniani kupitia picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonesha akipiga mpira katika uwezo wa hali ya juu.

Kuangalia Full Video Ingia YouTube kisha andika BongoFive.

#Bongo5Updates #yangasc #simbasc

IMEANDIKWA NA @fum255

Комментарии

Информация по комментариям в разработке