Kampuni ya Direct Line yatakatisha matatu Nairobi

Описание к видео Kampuni ya Direct Line yatakatisha matatu Nairobi

Kampuni ya Direct Line yatakatisha matatu Nairobi
Hii ni katika juhudi za kukabili virusi vya Corona nchini
Matatu ziliruhusiwa kubeba abiria zaidi Jumapili
Watu 1,437 zaidi wameambukizwa virusi vya corona leo
Idadi ya waliofariki kutokana na Covid-19 ikiongezeka kufika watu 4,302

Комментарии

Информация по комментариям в разработке