Mwone Mizengo Pinda akipambana shambani kutafuta pesa

Описание к видео Mwone Mizengo Pinda akipambana shambani kutafuta pesa

Bado tupo katika shamba la Waziri Mkuu Mstafu Mizengo Pinda. Tunaangalia umuhimu wa kutumia nafasi ndogo katika shamba kuzalisha mazao mengi na kwa wingi ili kujiongezea kipato.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке