Je, Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya?

Описание к видео Je, Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya?

"Wanaodhani kwamba Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya hawajui Kiswahili ni kipi," asema Khalid Omar Mohammed Kitito ambaye ni Mratibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa nchini Kenya. Sikiliza Sababu zake hapa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке