Rais Samia Suluhu Hassan India tayari kwa ziara

Описание к видео Rais Samia Suluhu Hassan India tayari kwa ziara

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku nne nchini India ambapo mapema leo hii aliwasili katika mji mkuu wa nchi hiyo, New Delhi huku mapokezi rasmi yakitarajiwa kufanyika hapo kesho katika Ikulu ya India na atakaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi naa baadae atakutana na Rais wa nchi hiyo Droupadi Murmu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке