MITIMINGI # 619 FAHARI YA MWANAMKE NI KUPATA MUME ATAKAYEMDEKEZA

Описание к видео MITIMINGI # 619 FAHARI YA MWANAMKE NI KUPATA MUME ATAKAYEMDEKEZA

Kwa Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawadekezi wake zao. Mwanamke hujiona mtu wa thamani sana pale anapodekezwa na mke wake. Mawasiliano yanapokosekana katika ndoa, hufanya mke au mume kutokuwa na furaha katika ndoa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке