Mambo makuu kuhusiana na uzazi wa mpango

Описание к видео Mambo makuu kuhusiana na uzazi wa mpango

Fahamu mambo matano makuu ya uzazi wa mpango. Daktari Hamad Riga kutoka nchini Kenya ametufafanulia zaidi kuhusiana na uzazi wa mpango.

Je, wewe huzingatia nini kabla ya kutumia mbinu za uzazi wa mpango?

#bbcswahili #afya #afyayauzazi #bbcmaisha #wanawake #uzazi #uzaziwampango

Комментарии

Информация по комментариям в разработке