I.T----TUTAKUKUMBUKA official video.

Описание к видео I.T----TUTAKUKUMBUKA official video.

Wimbo huu nimeutunga kwa hisia Kali na majonzi makubwa sana kwa kufikiria maendeleo aliyo yafanya Rais wetu mpendwa maana amejitahidi sana katika nyanja za maendeleo katika nchi yetu ya Zanzibar... Katika kuutunga huu wimbo ulinipa tabu sana kila nikifikiria nani anaweza kua mrithi wa #Dr_Shein? Dah najikuta naumia sana katika hili maana Rais wetu mpole ana hekima mtulivu na wala si mtu tabu kabisa kwa wananchi wake..... Nathubutu kusema kua umetekeleza yale yote uliyo tuahidi baba yetu mpendwa... Kama vile Miundo mbinu, viwanda, Ajira, Kuongeza Mishahara, kununua Meli Mpya za Mafuta na Abiria, kupandisha Uchumi n.k yote haya ni mambo muhimu sana katika nchi yetu na tunapaswa kumpongeza Dr.Shein kwa hatua hii kubwa katika Nchi yetu Namuomba Allah akupe maisha Marefu katika safari yako ya mapumziko nyumbani.... Niseme tu #TUTAKUKUMBUKA.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке