DSM GARI ZA BATA, KIGOMA ZA KAZI, UNAAMBIWA PROBOX KIGOMA ZINAITWA MCHOMOKO, “HADI MIZIGO TUNABEBA”

Описание к видео DSM GARI ZA BATA, KIGOMA ZA KAZI, UNAAMBIWA PROBOX KIGOMA ZINAITWA MCHOMOKO, “HADI MIZIGO TUNABEBA”

Inawekana kwa Mikoa mingine gari aina ya Probox ikawa inamatumizi mengine tofauti na gari aina hizi zinavyotumika kwa Mkoa wa Kigoma.

Ukifika Kigoma pengine ukiulizia Magari haya kwa jina la PROBOX unaweza usilipate kabisa, kwajina maarufu Kigoma wanaita MCHOMOKO gari lenye uwezo wakubeba abiria watano na mizigo mingi lakini inafaida kubwa kibiashara na mkombozi wa abiria.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке