MAAJABU YA KIZIMKAZI ALIPOZALIWA RAIS SAMIA | BINADAMU ALIPOGEUKA JIWE (DOCUMENTARY)

Описание к видео MAAJABU YA KIZIMKAZI ALIPOZALIWA RAIS SAMIA | BINADAMU ALIPOGEUKA JIWE (DOCUMENTARY)

Historia ya Mji wa Kizimkazi Visiwani Zanzibar na Vivutio vipatikanavyo kama vile Dolphins (Pombo), Pango la Miza wa Miza, Pango la Maji ya Machomwe, Pango la Kasa , Historia ya Msikiti Mkongwe na wa kwanza East Africa (Afrika Mashariki) na Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia mti wa Muarita kubwa zaidi ni Kivutio kikubwa na kipya kabisa mjini kizimkazi na visiwani Zanzibar nacho ni Tamasha kubwa la Kizimkazi (Kizimkazi Festival)

WATAYARISHAJI WA DOCUMENTARY HII.
Mwandishi na Mwongozaji (Director & Script )
- Luqman Maloto

Mwongoza picha (Director of Photography )
- Samwel Gerald (Samg)

Msaidizi mwogozaji picha
- Alpha Damiani

Mhariri (Editor & Colorist )
- Samwel Gerald (Samg)

Mtayarishaji Sauti
- Senkondo Omar

Mweka Sauti
- Saada Nassor

Drone Pilot
- Anderson Malinzi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке