MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris

Описание к видео MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris

MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris

Mambo ya watu wengi hayafanikiwi kwa sababu wanaanza pasipo kumkabidhi Bwana. Wengine wanafahamu umuhimu wa kumkabidhi Bwana lakini hawafahamu namna ya kumkabidhi Bwana mipango yao au mambo yao. Katika maombi haya nimeelekeza yote na nimeomba pia.

Biblia inasema katika Mithali 16:3 kwamba "Mkabidhi Bwana kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika."

Tafsiri ya Biblia ya Habari Njema imetumia lugha rahisi sana inasema

"Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa."
Methali 16:3 BHN

Ili mipango yetu ifanikiwe ni lazima tumkabidhi Bwana Yesu kazi zetu, atawale Yeye. Kuna faida kubwa sana kufanya kazi yako na Yesu.

Karibu tuombe pamoja. Hakika mipango yako yote na mambo yako yote yatafanikiwa.

Ubarikiwe sana.

Contacts: +255652796450 (WhatsApp)

Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect

Contact: +255652796450 (WhatsApp)

Instagram Link:
  / holyspiritconnect  

Facebook Link:
  / holyspiritconnect  

YouTube Link:
   / holyspiritconnect  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке