Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024

Описание к видео Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024

Feisal Salum amefunga magoli mawili Azam FC ikiibugiza Kagera Sugar mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.....

Magoli mengine kwenye mchezo huu yametoka kwa Gibril Sillah dakika ya 50’, Kipre Jr dakika ya 65' na Iddy Nado dakika ya 90, huku Feisal akifunga yake dakika ya 72 na 79.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке