Jamaa aliyeuawa na mwanawe miezi mitatu iliyopita apatikana mifupa Laikipia

Описание к видео Jamaa aliyeuawa na mwanawe miezi mitatu iliyopita apatikana mifupa Laikipia

Mwanaumme mmoja ameshtakiwa kwa mauaji ya babake katika kijiji cha Njoguini kaunti ya Laikipia. Antony Gitonga alikiri kumuua babake Joseph Ndengwa mwenye umri wa miaka 81 kufuatia mzozo kuhusu mali ya familia.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке