KARIBU TU PIGE MAHARAGI NA CHAPATI YA MAJI. WELCOME TO NURU KITCHEN

Описание к видео KARIBU TU PIGE MAHARAGI NA CHAPATI YA MAJI. WELCOME TO NURU KITCHEN

kwa maharigi yetu tutaitaji maragi. chunvi. garlic.giger bicarbonate. bayleaf. kwa kukalanga maharigi yetu tutaitaji.mafuta. kitungulu. tomatopasta. kwa kukalanga chapati yetu tutaitaji. unga wa ngano yani flour. chunvi. 2eggs yani mayayi2.vanilla flavor. maziwa Kisha unachangaya . thank you 😊 #cooking #foodie #recipe #yummy

Комментарии

Информация по комментариям в разработке