Biteko agoma kufungua mgodi wa dhahabu Nyurugusu, hii ndio sababu...

Описание к видео Biteko agoma kufungua mgodi wa dhahabu Nyurugusu, hii ndio sababu...

Waziri wa Madini, Dotto Biteko agoma kuufungua mgodi wa Nyarugusu Mine uliyopo Geita uliofungwa na serikali miezi saba iliyopita hadi pale mgodi huo utakapozirudisha dhahabu kilo 5.72 zilizokamatwa na serikali zikitoroshwa kinyume na taratibu.
#AzamTVApp #AzamTVUpdates #UTV

Комментарии

Информация по комментариям в разработке