KUA MAKINI NA URAFIKI WA WATANZANIA ULAYA |KILA NIKIPATA MZUNGU ANANIKIMBIA KUMBE RAFIKI ANAHARIBU

Описание к видео KUA MAKINI NA URAFIKI WA WATANZANIA ULAYA |KILA NIKIPATA MZUNGU ANANIKIMBIA KUMBE RAFIKI ANAHARIBU

Lucy ambae ni mkongwe wa Sanaa ametufungukia mengi kuhusu maisha ya Ulaya nchini Denmark na pia kuhusu kuendeleza kazi yake ya Sanaa.

Malezi ya watoto, utamaduni wa wadanish, na changamoto za kujipata ukiwa nchi za watu.

Ameeleza changamoto za watanzania wanapokutana Ughaibuni, Habari za kizushi na mengine mengi.

Thank you Lucy for allowing this to be online


www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке