UKWELI KUHUSU KUTOKUJA KWA MAVERICK CITY NA KIRK FRANKLIN TANZANIA KATIKA TAMASHA LA KINGDOM TOUR

Описание к видео UKWELI KUHUSU KUTOKUJA KWA MAVERICK CITY NA KIRK FRANKLIN TANZANIA KATIKA TAMASHA LA KINGDOM TOUR

Mnamo hapo jana Tarehe 15 ilikuwa ndio siku ambayo. Kundi la Maverick city kutokea marekani pamoja na kirk frankilin walipaswa kufanya tamasha la KINGDOM WORLD TOUR ambalo lilikuwa imeshafanyika katika nchi mbalimbali za Africa kama SOUTHAFRICA, MALAWI, UGANDA, ZAMBIA, na Kesho hapo Kufanyika kenya
Lakini kutokana na issues Mbali mbali imekuwa changamoto wao kufika Hapa nchini na KUENDELEA NA TAMASHA HILI hali iliyopelekea
Taharuki lakini mshangao kwa watu .
GN TV IMEZUNGUMZA na mtumishi wa Mungu @johnlisu ambaye ndiye aliyekuwa host wa watumishi hao na alikuwa akifuatilia shughuli nzima ya wao kufika hapa Tanzania.
Ili kujua kwanini Tamasha hilo limeshindikana Kufanyika!


Sikiliza kwa makini sana Lakini pia Utajifunza Mengi sisi kama watanzania tuweze kujifunza Kubadilika nakusuposrt hizi event sio za watu wengine wa nje tu lakini Hata wa hapa Tanzania MSIKILIZE JOHNLISU ANAVYOFAFANUA.


@gospeltothenationstz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке