Je, nani wa kumpisha Lionel Ateba Simba? Uchambuzi kutoka Viwanjani 13/08/2024

Описание к видео Je, nani wa kumpisha Lionel Ateba Simba? Uchambuzi kutoka Viwanjani 13/08/2024

“…wa kukatwa ni Freddy Michael Koublan” – Sikia uchambuzi wa Geofrey Mwamnyanyi kuhusu nani wa kuondolewa Simba endapo itaamua kumsajili straika Lionel Iteba kutoka Cameroon.

Je, wewe unasemaje....nani akatwe?

Ni #Viwanjani Jumatatu hadi Ijumaa saa 3:00 asubuhi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке