Mbunge wa Turkana aomba msamaha kwa wananchi kwa kupiga kura ya ndio kuupitisha mswada

Описание к видео Mbunge wa Turkana aomba msamaha kwa wananchi kwa kupiga kura ya ndio kuupitisha mswada

Pindi tu rais alipotangaza kutotia sahihi mswada tata wa fedha wa mwaka 2024, mbunge wa Turkana ya kati Joseph Namwar alitoa taarifa kwa vyombo vya habari akiomba msamaha kwa wananchi wa eneo bunge lake kwa kupiga kura ya ndio kuupitisha mswada ambao wananchi wameukataa hadharani.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке